😂😂Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza la Mawaziri ambapo kwenye Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi amemteua Dr. Anjelina Mabula kuwa Waziri huku Naibu Waziri wake akiwa Ridhiwani Kikwete, hapo kabla Waziri alikua William Lukuvi. View attachment 2073693