Makapuku Forum

Anaitwa Cheikh Ahmed Tenena Moukoro, akifahamika zaidi kama Cheikh Moukoro, raia wa Ivory Coast

Yupo kwenye majaribio ndani ya Klabu ya Simba, ikitokea amecheza vyema basi atapewa kandarasi ndani ya Msimbazi

Amewahi kupita kwenye klabu kubwa kama Asec Mimosa ya Ivory Coast, Al Hilal Obeid, Al Hilal ya Sudan na Al Masry ya Misri, amewahi pia kucheza soka nchini Iraq

Ni winga ya Kushoto hii, ngoja tuione leo kwenye Michuano ya Mapinduzi Cup

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…