Sikuiona hii tag Binamu Mswati
Hivi nyiee mnaoachana na kuanza kumlilia mpenzi wako inakuwaje kuwaje yaani
Hayo mambo yamenishinda mie anajisemeaga babe wangu acha uzembe
Kuna mtu analilia mtu kumbe
Huwaga nawashangaa sana kumlilia mtu mzima kama yupo huyohuyo peke yake
Mmeachana kila mtu aendelee na maisha yake jamani atakuja mwingine zaidi yake
Tuenjoy tu jamani maisha ndio hayahaya
Kuna mtu analilia mtu kumbe
Nimecheka sana.
Amuache mwenzie amove on salama.
Inatakiwa wasonge mbele kama injiliWapo mama wanaolia lia wakiachana najiuliza hivi wanawezaje haya mambo mbona me siwezi kabisa
Tukiachana tumeachana endelea tu na mambo yako
Serikali ya Korea Kaskazini imetoa agizo kwa raia wake kuwa hawaruhusiwi kucheka, kununua au kunywa vilevi au kuonesha kiashiria chochote cha furaha ndani ya siku 11 kuelekea kuadhimisha miaka 10 ya kifo cha Kim Jong II aliyekuwa baba wa Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.
Kim Jong II alikuwa rais wa Korea Kaskani kuanzia mwaka 1994 hadi 2011alipofariki kwa ugonjwa wa moyo akiwa na umri wa miaka 69,
Nafasi yake ilichukuliwa na mtoto wake wa tatu Kim Jong Un ambae ndiye rais wa Taifa hilo kwa Sasa.View attachment 2047910
Bado hujapona vizuri vizuri kabisa...Nimepona sasaila namshukuru sana Mungu wangu
Hakika wapunguze uzembe...Hivi nyiee mnaoachana na kuanza kumlilia mpenzi wako inakuwaje kuwaje yaani
Hayo mambo yamenishinda mie anajisemeaga babe wangu acha uzembe
Ni matamu na pia yanauma...Nyieee mapenzi matamu bwana