Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,013
CLATOUS CHAMA UPDATE|
It is going to happen and it will surely happen
Kwahiyo TFF wanahusika na timu za taifa tu?Farhan Jr
Just imagine mkataba ni siri kati ya TFF na GSM, just imagine klabu ambaye ambao ndio watekelezaji hawajui kama sisi tusivyofahamu
Just imagine Simba anadai ameona taarifa za udhamini huo mtandaoni kama ambavyo Wadau wengine walivyoona
Just imagine unaenda kutumikia mkataba ambao wewe hujui una masherti gani na unanufaikaje na mkataba huo, just imagine
Ngoja niwaambie TFF ni regulator ambaye anahakikisha mchezo wa mpira upo fair na unachezwa kwa haki ila jukumu la mikataba ni la bodi ya Ligi (TPLB)
TFF anasema klabu zikipata mikataba yoyote ya kibiashara wanapaswa kuipeleka TFF kuipitisha Ili kuhakikisha kama hakuna mgongano wa kimaslahi, kwanini wao hawatoi hiyo nafasi kwa klabu?
Naomba tuulizane je TFF wakishapata wadhamini kwanini wasikae chini na klabu kutazama kama hakuna migongano ya kimaslahi? Kwanini kuwe na double standards? Ipi nafasi ya Klabu?
Let me tell you! TPLB ndie ana dhamana ya Klabu zote, TFF ana dhamana ya mpira na timu za taifa, tuwe na mipaka itatusaidia sana, kwenye Ligi yeye ni regulator tu na kuoversee conducts
View attachment 2036261
Mkataba wa NBC kudhamini ligi ulikuwa kati ya nani na nani?
kuna kauli moja huwa siipendi kuwa 'mpira wa tff' hii kauli ya kibabe sanaKwahiyo TFF wanahusika na timu za taifa tu?
Fantastic!
Na hiyo Bodi ya ligi inafanya kazi chini ya mamlaka gani?
Kaone kwanza kalivyo kazuri...