Karibu sana kipenzi huwezi kuuelewa kama unaingia na kutoka we kaa toka asubuhi unaamka na magazeti na mambo mambo mengineNataka kuhamia huku Makapuku Shunie
Lakini sijawahi kuelew huu Uzi unataka nini jamani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Oooooh!!! Ahsante Dear.. Wacha niweke kambi hapa..Karibu sana kipenzi huwezi kuuelewa kama unaingia na kutoka we kaa toka asubuhi unaamka na magazeti na mambo mambo mengine
Hutojutia kabisa karibu sana dear