Orodha ya hati za kusafiria (passport) zenye nguvu zaidi duniani kwa mwaka 2021 imetoka tayari na ifuatayo ni Top 10 ya Nchi hizo, nguvu yake ni idadi ya Nchi ambazo ukiwa na passport mojawapo unaingia kwenye Nchi nyingi bila VISA au ukapewa VISA baada ya kuwasili. (VISA on arrival).
10. Lithuania, Poland, Slovakia (Nchi 182)
9. Hungary (Nchi 183)
8. Australia, Canada (184)
7. Czech Republic, Greece, Malta, Norway, United Kingdom, United States (Nchi 185)
6. Belgium, New Zealand, Switzerland (186).
5. France, Ireland, Netherlands, Portugal, Sweden (187)
4. Austria, Denmark (188)
3. Finland, Italy, Luxembourg, Spain (Nchi 189)
2. Germany, South Korea (190)
1. Japan, Singapore (Nchi 192).
Unataka kufahamu kuhusu Tanzania kwenye orodha hii? list inakuja.