Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
WAKONGO WAWILI WATIMKA YANGA
.
Winga Jesus Moloko aliyefunga bao lake la kwanza tangu atue Yanga ametimka juzi usiku sambamba na beki Djuma Shaban wakirejea kwao DR Congo.
.
Inaelezwa kwamba wachezaji hao wawili wamerejea kwao kupata pasi mpya za kusafiria baada ya zile za awali kujaa ambapo wakirejea wataungan na wenzao kambini Karatu Arusha kabla ya kurudi tena kwenye pilikapilika za mechi za Ligi Kuu, wakiwafuata KMC mjini Songea.
.
KMC imeamua kulipeleka pambano lao wakiwa kama wenyeji litakalopigwa Oktoba 19 mjini Songea.