Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
Waamuzi wa Tanzania Ramadhani Kayoko, Frank Komba, Soud Lila na Elly Sasii wameteuliwa na caf kuchezesha mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Cffa (Madagascar) na Grupo Desportivo Interclube (Angola) utakaochezwa kwenye Uwanja wa Mahamasina, Madagascar, Oktoba 17,2021.