Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Mwamba huyo kushoto anaitwa ALAAN KEEGAN 'The voice of Old Trafford'
Mtu hatari ndie MC wa dimba la Old Trafford, anatangaza lineups na magoli pale OT
Juzi kati wakati anamtambulisha Ronaldo alianza kwa mbwembwe,
"By popular demand, let me introduce to you the number
Cristiano Ronaldo"
Mtu wa nongwa sana

Mtu hatari ndie MC wa dimba la Old Trafford, anatangaza lineups na magoli pale OT
Juzi kati wakati anamtambulisha Ronaldo alianza kwa mbwembwe,
"By popular demand, let me introduce to you the number
Cristiano Ronaldo"Mtu wa nongwa sana

ya kirafiki katika maandalizi ya msimu ujao katika kambi yao Arusha dhidi ya Aigle Noir ya Burundi na kushinda mabao
-
yaliyofungwa na Kibu Denis na Bernard Morrison.