Makapuku Forum

Nyie wanaume ndio maana mnaambiwa muoe wanawake ambao mtakuwa nao kwenye raha na matatizo

Oa slay queen uwe na shida au tatizo lolote utaona rangi zote

 
RIVERS UNITED WAGOMA KUINGIA VYUMBANI

Wachezaji na viongozi wa Rivers United wamegoma kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na badala yake wakataka kubadilishia nguo kwenye eneo la MIX ZONE

Stewards wa uwanja wa Benjamin Mkapa wakawaelekeza wasibadilishie nguo eneo hilo, waingie vyumbani hapo ndipo mabishano yakaanza!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nicheke tuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…