Makapuku Forum

Na hali ya hewa hiii hutamani kumwachia babe wako [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] babe wangu uliposhikilia hapohapo usiachie [emoji1787][emoji1787] haya mambo ni matamu nyieeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shunie mimi kibongee cheusi mangala wa babe wangu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

Kuna mda namuonea huruma babe wangu hivi anawezaje jamani kunibeba kibonge mimi nawaza au namtesa sana mtoto wa mwanamke mwenzangu [emoji847][emoji847]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kweli ujue ukiwa na kitu unakiona hakina thamani unaachana nacho kumbe wenzio walikuwa wanasubiri tu umwachie wamdake wampendee wamdekezeee wamjali kwa kila kitu [emoji847]
Thamani ya kitu huonekana kikishaondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…