Uwe unaweka kila siku Shadow magazeti. [emoji120]
Kwanini Shunie 🙄 🙄Uwe unaweka kila siku Shadow magazeti. [emoji120]
Kwa nini tena jamani nimependa tuKwanini Shunie 🙄 🙄
Haya nitafanya hivyoKwa nini tena jamani nimependa tu
[emoji120][emoji120]Haya nitafanya hivyo
Hizi mbili za mwisho ni hatarKuelekea Simba Day, Klabu ya Simba SC leo imetangaza rasmi kuanza kupatikana kwa jezi zao za msimu mpya wa 2021/22.
:
Ipi umeikubali zaidi kati ya jezi 4 rasmi za msimu??View attachment 1922002View attachment 1922004View attachment 1922005View attachment 1922008
Nzuri sana hizo mwambie mr smart afanye namna[emoji4]Nyie Vunja bei katuletea na jezi za kike simba [emoji1787][emoji1787][emoji1787] haya mambo tunayapataga kwenye jezi za ulaya tu [emoji119][emoji119][emoji119]
Hapa elfu 70 lazima initoke hakuna namna au nichukue tu zote 3. [emoji848][emoji848]View attachment 1922083View attachment 1922084View attachment 1922085View attachment 1922086View attachment 1922087