Boxing ni mchezo ambao huwezi kumsifia mwenzako ndio maana sio mchezo wa masheikh, kumsifia mtu ni ishara za kumuogopa. Masheikh watabaki mashabiki lakini sio boxer halafu kila linalosemwa kwako wewe unaitikia hewala.
Mohamed Ali alikuwa anawatukana wapinzani wake, kwa nini nikisema mimi naonekana nimekosea? Boxing ni mchezo wa tambo na majivuno.
Mimi najivunia ni bora na ubora wangu unaonekana takwimu, namba hazidanganyi.
Kama ni rahisi watengeneze Mwakinyo mwingine mwenye thamani ya nyota nne kama inawezekana.
- Hassan Mwakinyo
View attachment 1919866