Makapuku Forum

Hili pambano lazima niliangalie live dadeq.
 
Ashton Kutcher, muigizaji wa Hollywood alikua na miaka 13 wakati alipomtembelea pacha wake hospitali mara daktari akasema ana masaa machache afariki dunia kwasababu ghafla moyo wake ulikua haufanyi kazi.

Ili aendelee kuishi anahitaji moyo mwingine. Ashton akajiwa na wazo la kujiua kwa kujirusha kutoka juu ya paa la hoteli iliyoko karibu na hospitali ili moyo wake apandikizwe ndugu yake.

Wakati Ashton aliendelea kufikiria kujirusha baba yake akatoka nje akaamuliza unafikiria nini? Ashton akamwambia baba yake baba akamwambia huwezi kufanya hivyo ghafla dakati akaja mbio na kuwaambia wajiandae na Operation kuna mwanamke alifariki kwa ajali ya gari huko California moyo uko njiani unakuja.
 
...binamu umepotea sana, nashukuru ninaendelea vizuri na naamini uko poa wewe na family. Tupo tu hapa na anko wangu ambaye mbali ya kuachika yuko kwenye harakati ya kurudi kule kule kwa zamani, msemo wake eti ya kale hayanuki
Mimi sijambo binamu, mambo tu yanaingiliana ila ni wazima kabsa...

Mjomba mbishi kuukubali ule msemo wa ukiachwa achika haha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…