Awasalimie Aliikuta Simba na itazidi Kung'aa yaani Mimi Manara nilikua nampenda ila kwa sasa namtenganisha na Simba.Sihami Simba nimeanza kuipenda mwaka 1992 kama sikosei sitaacha kuipenda...!!!anatutingisha siyeeINASEMEKANA Haji manara
Anahamia Azam fc Na Hii ni Kwa Sababu Club inahitaji BOOST kibiashara
Kapewa Gari KALI na Nyumba ( Sio Yakupanga , YAKEEEE
-Mshahara MNONO BALAA
Nimepita Sehemu Nikakuta watu wanasema Haji manara NI KAMA CHURA ALIEPIGWA TEKE
View attachment 1883064
Nimekumiss...Carlos CarlinhosSagrada Esperanca
.
Mabingwa wa Angola, Sagrada Esperanca wamemtambulisha aliyekuwa kiungo wa Yanga, Carlos Carlinhos Stenio Fernandes Guimaraes do Carmo.
.
Carlinhos mwenye umri wa mika (26) amejiunga kwa uhamisho wa bure.
View attachment 1883149
Nimekumiss pia kipenziNimekumiss...
Nimerudi na hii ile imegoma