Ametokea timu gani?Simba mwingine ameingia kwenye familia ya mabingwa, ni YUSUFU MHILU [emoji123]
Karibu katika timu bora nchini!
Usajili2021 View attachment 1880383View attachment 1880384
Kwenye mshahara sio ishu“Wabunge wanakatwa kodi ya ajira (PAYE) kwenye mishahara yao kila mwezi na kuwasilishwa Mamlaka ya Mapato Tanzania kwa mujibu wa sheria kama ilivyo waajiriwa wengine wote wanaopata mishahara. “ Mkurugenzi wa Elimu ya Mlipakodi na Mawasiliano, Richard Kayombo
View attachment 1880408
Katokea Malawi hukoAmetokea timu gani?
Kitumbua kina umuhimu wake [emoji2]Kisa ndoa, Makambo huyo arejea Congo
.
Siku chache baada ya kusaini mkataba ya kazi ndani ya Yanga, staa mpya wa DR Congo, Heritier Makambo jana usiku aliondoka nchini kurudi kwao kujiweka sawa tayari kwa kazi.
.
Makambo alitua nchini hivi karibuni bila begi lolote ili kuja kukamilisha dili lake, lakini jana viongozi wa Yanga walieleza anakwenda kuoa fasta na Kocha Nabi Mohammed amempa siku tano tu awe amerejea Dar tayari kwa mazoezi ya msimu mpya.
.
Awali inadaiwa kwamba mchezaji huyo aliomba kupewa wiki mbili za mapumziko lakini Nabi akamkatalia na kumsisitiza kwamba anawataka arudi haraka na wakakubaliana kila kitu akasepa zake.
.
View attachment 1880464
Kwenye ubora wako we mzee na hapo katiKitumbua kina umuhimu wake [emoji2]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Shunie ina maana wewe hupendi kupashughulisha hapo kati mzee mwenzangu?Kwenye ubora wako we mzee na hapo kati