EeenhNzuri hii
Tutaenda mpaka Soni...Unawajua wasambaa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ebu jaribu siku kupanda shambalai tu ushuke hata mombo au korogwe utajua hujui
Kisambaa mwanzo mwisho mpaka tunafika mlalo[emoji6]View attachment 1821262
Utanibeba na mimiTutaenda mpaka Soni...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]walau mara moja moja niwe kijana mwenzio sio kila siku mzee[emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo mzee mwenzangu leo unanikana unataka kurudi kuwa kijana
Ndiwooooooooo, ahahhaaaaaaEeenh
Kwahiyo unataka kugundua nini jamani kurudi kwenye ujana acha mimi niendelee na uzee wangu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]walau mara moja moja niwe kijana mwenzio sio kila siku mzee
Ulipo wewe nami niwepo hapohapo, kama ni kwa ujana niwepo kama ni kwa uzee niwepo ili kama ni ugunduzi tugundue pamoja we Shunie Shunie kipotabo ize tu keri shangazi (chibonge wa uongo[emoji23][emoji23]) mtoto mlito ~ hivi ni wa kidigo au wa kisambaa?Kwahiyo unataka kugundua nini jamani kurudi kwenye ujana acha mimi niendelee na uzee wangu
Hapo kwa kabila aje kunijibia smart Smart911Ulipo wewe nami niwepo hapohapo, kama ni kwa ujana niwepo kama ni kwa uzee niwepo ili kama ni ugunduzi tugundue pamoja we Shunie Shunie kipotabo ize tu keri shangazi (chibonge wa uongo[emoji23][emoji23]) mtoto mlito ~ hivi ni wa kidigo au wa kisambaa?
Hahaha ebu tia neno kidogo basiHahaha... Mimi siwezia tia neno lolote...
Nasoma comments tu cheupe dawa...
Mambo yako naishi nayo mwenyewe...Hahaha ebu tia neno kidogo basi
[emoji85][emoji85][emoji85]Mambo yako naishi nayo mwenyewe...
Mtoto mweupe mpaka ukiwekwa love bite leo linapotea baada ya week...
😉
Kaone kanavyoona aibu... hahaha...[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji85][emoji85][emoji85] Bwana ebu niacheKaone kanavyoona aibu... hahaha...
Ni love bite tu hakuna lingine, usione aibu mtoto mzuri...[emoji85][emoji85][emoji85] Bwana ebu niache
Hahahhaa upoje lakiniNi love bite tu hakuna lingine, usione aibu mtoto mzuri...