utopolo kwenye ubora waoKiungo wa Yanga Carlos Stenio Fernandes “Carlinhos” ameachana na Yanga SC na kurejea kwao Angola, hiyo ni baada ya kuomba kuvunja mkataba wa club hiyo, tetesi zinadai chanzo cha mchezaji huyo kuomba kuvunja mkataba ni kushindwa kuzoea maisha ya Tanzania ikiwemo vyakula.View attachment 1803488View attachment 1803489
Kaona isiwe tabu.Kiungo wa Yanga Carlos Stenio Fernandes “Carlinhos” ameachana na Yanga SC na kurejea kwao Angola, hiyo ni baada ya kuomba kuvunja mkataba wa club hiyo, tetesi zinadai chanzo cha mchezaji huyo kuomba kuvunja mkataba ni kushindwa kuzoea maisha ya Tanzania ikiwemo vyakula.View attachment 1803488View attachment 1803489
Usikute alikuwa analishwa ugali na dagaaKaona isiwe tabu.
....sasa maandamano ya kumsindikiza eapoti tunafanya lini!?Kaona isiwe tabu.
....utopolo mwingine huu, huu ushauri wa kamati utasaidia nini ikiwa ni ATCL pekee ndio inaachwa itamalaki bila ushindani wa maana!?Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimezindua kamati ya ushauri ya wadau wa kisekta itakayofanya kazi na kituo cha umahiri cha mafunzo ya taaluma za usafiri wa anga na operesheni za usafirishaji.
Akizungumza katika uzinduzi huo mkuu wa chuo hicho, Profesa Zacharia Mganilwa amesema kamati hiyo imezingatia mahitaji ya sekta binafsi ambapo asilimia 50 ya wajumbe wake wanatoka kwenye sekta binafsi.View attachment 1798310
...una passport binamu!? Maana mimi yangu yule jamaa walieyemgalagaza alinisaidia nikaipata.Mambo yangu hayo, nipe connection mjomba
Binamu umepotea maka anaoa binamu mwezi wa 10...una passport binamu!? Maana mimi yangu yule jamaa walieyemgalagaza alinisaidia nikaipata.
...duh, sijui kwanini nakuwa wa mwisho kujua khabari njema. makaveli10 jirani yangu huyu auntie, nitajongea kumuunga ✋ tushehereke mapema maana harusi zetu asubuhi tu tushakianua mchana tunapiga mpungaBinamu umepotea maka anaoa binamu mwezi wa 10