Makapuku Forum

Ooh sawa maka hongera sana Mungu atie heri yake mfunge ndoa salama

Yule angekuwa anakugombanisha na watu wako wa karibu kila siku mdada mkorofi sana ila ndio mapenzi sijui wivu kuna mda sisi wanawake tunajijua wenyewe

Amin shunie akee..

Yule kivuruge..
, sikuwa na namna zaidi ya kumtema kwa usalama wa afya yangu, maendeleo na mahusiano yangu kijamii

Wivu too much
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…