Makapuku Forum

Makapuku Forum

20210527_131934.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukiwa unampa vijembe ex wako juwa bado unampenda sana halafu mwenzako ameshakusahau kabisa hata kwenye mawazo yake haupo

Alisikika mlevi mmoja huko nimecopy na kupaste tu [emoji16]
 
Lunch yako ilikuwa ni nini shunie?
 
Watu mmeshaachana kila mtu na mambo zake mwenzio yupo na mahusiano yake huko wewe kila siku vijembe vya nini jamani kila mtu abalance shobo zake

Ukiona unafanya vyote hivyo bado unampenda cha kukusaidia kunywa kojo umsahau kabisa

Alisika mlevi mmoja
 
Back
Top Bottom