Keko kila mtu dalali...halafu hichi ni cha upeponenda na hii picha keko telemka pale muulizie fundi kichongeo mpe hela advance siku moja tu kitu hikoooooo
Heee! ni hivi kila mahali Bongo! kila mtu ni dalali!! ndo maana tunasema uishi kwa Bongo= Bongo land, pia ndo maana ikaitwa Bongo land!! sikutegemea jibu hili kwa Mwenyeji wa Bongo!! ..... unaujua Ubongo ???Keko kila mtu dalali...halafu hichi ni cha upepo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] keko napita sana ni karibu na nilipofikia mjinHeee! ni hivi kila mahali Bongo! kila mtu ni dalali!! ndo maana tunasema uishi kwa Bongo= Bongo land, pia ndo maana ikaitwa Bongo land!! sikutegemea jibu hili kwa Mwenyeji wa Bongo!! ..... unaujua Ubongo ???
Ni kikochi cha upepo??? Mwambie hivo hivo fundi kuwa ni cha upepo! Tube za magari zimejaa kule keko dogo tena bei rahisi tu! hawashindwagi kitu wale! Wewe mwenyeji wa wapi kijana????
Jamani hii si sawa kabisa mbona mimi sichaguliwi kuwa Mkuu wa MKoa wowote hapa nchini!!! Elimu, uwezo, wasaa, Ubunifu na hamu ya kuifanya hiyo kazi ninayo! Tangu nikiwa shule ya Msingi Bwana Nsa kaisy, Lawrance GamaAliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambae kwa Sasa ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakar Kunenge leo May 19 amekabidhi ofisi kwa Mkuu Mpya wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla ambapo amewashukuru Watumishi wote wa Mkoa huo kwa ushirikiano mkubwa waliompatia wakati wa uongozi wake.
RC Kunenge amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa imani kubwa aliyomuonesha kwa kumteua kuongoza Mkoa wa Pwani.
RC Kunenge amesema ushirikiano wa kazi baina yake na Watumishi wote wa Mkoa viliwezesha kupatikana kwa mafanikio makubwa ambapo ametoa wito kwa Watumishi hao kuendelea kumpa ushirikiano huohuo Mkuu wa Mkoa Mpya ili aweze kutimiza maono ya Rais Samia Katika Mkoa huo.
Kwa upande wake Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amempongeza RC Kunenge kwa kazi kubwa na nzuri aliyoifanya Katika Mkoa huo na kueleza kuwa anaamini uwezo alioonesha Dar es salaam ataupeleka Mkoa wa Pwani.
Makabidhiano ya Ofisi yamefanyika mbele ya Viongozi wa Mkoa huo akiwemo Katibu Tawala wa Mkoa, Wakuu wa Wilaya, Wastaki Meya, Viongozi wa Usalama, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakuu wa Idara.View attachment 1791056