Makapuku Forum

Mchezaji wa Tanzania Prisons Benjamin Asukile amefungiwa kucheza mechi tano na kupigwa faini ya Tsh 500,000/= kwa kosa la kutoa maneno ya kejeli, kashfa, udhalilishaji na shutuma dhidi ya Yanga katika mchezo dhidi yao wa 16 bora wa Kombe la ASFC uliyochezwa Uwanja wa Nelson Mandela Rukwa Sumbawanga na Yanga kushinda 1-0
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…