Ilikuwa hivii.. Walipofika hawakumkuta mtu waliyemtarajia ambaye alikua anaitwa Sogen Kato, baada ya kuwahoji Wanafamilia na kuwalazimisha kufungua vyumba vingine ili kuhakikisha kama kweli hayupo, Mjukuu wake wa kike alieleza kwamba Mzee Kato ametoa maagizo kwamba hataki kuonana na mtu yeyote.
Ndipo baadae maofisa wakaingia kwa nguvu na kukutana na mabaki ya mwili ya Mzee Kato yaliyovalishwa nguo na kufunikwa na shuka.