Makapuku Forum

"Kwa taarifa tulizonazo mpaka jana jioni zaidi ya Watu Bilioni 3.9 karibu Watu Bilioni 4 Duniani walikuwa wanafuatilia tukio la kumuaga Hayati Magufuli Kitaifa jana Dodoma na naamini leo pia itakuwa hivyo, tunawashukuru Waandishi wa Habari kwa kazi nzuri”- Waziri Mkuu Majaliwa, Zanzibar
 
Hillary Clinton ambae ni Mke wa Rais wa zamani wa Marekani pia Mgombea Urais wa Marekani mwaka 2016 ni miongoni mwa waliotumia kurasa zao za Twitter kumtakia kila la kheri Rais mpya wa Tanzania na Mwanamke wa kwanza kuwa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan.

Hillary ameandika ———> “Best wishes to SuluhuSamia Tanzania’s new president and the first woman to hold the office, as she leads and serves her country”
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…