Makapuku Forum

Makapuku Forum

Natengeneza tovuti(website/blog) kwa bei poa.

Kama kichwa cha habari kisemavyo, Natengeneza tovuti(website/blog) za kisasa kabisa kwa bei sawa na bure. Tambua kuwa website huwa ni full responsive, utapata after sale support, nitakutengenezea social media pages kwa ajili ya biashara/huduma unayotoa na zitakua linked kwenye website yako. mwisho lakini si haba nitakusajilia biashara yako katika search engine ya google hii itasaidia biashara yako itokee katika katika google map na pia katika search engine ya google. Vyote hivyo ni kwa gharama ya Tsh 149,000 tu.


Napatikana Dar-es-salaam, Karibuni sana PM.
Kwa mawasiliano zaidi.
Text/Call: 0693201371.
Whatsapp Only: 0714812151.

#website #tovuti #blog #adsense
Weka sample mkuu ulizofanyia kazi
 
Kila la heri mnyama
Yule paka wetu najua tumeenda naye au tulishamtanguliza
20210223_070030.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom