wanawake tusipende hela za kuomba mwanaume akikupenda atakupa mwenyewe hapo sasa pa kupewa mwenyewe
sio kila mwanaume anaweza
Wanaume hawachukii kuombwa hela ila wanachukia kuuziwa
unamuomba nani muda gani ni jukumu lako
Halafu na nyie wanaume mnatakiwa mjue wajibu wenu sio mpaka muombwe mjiongeze
Yaani kama mimi siwezagi kuomba kabisa na siku nikikuomba kweli nimeshikika tunaweza kuwa wote kumbe nipo na mashida yangu tu navumilia
kuomba ni kipaji sio kila mtu anaweza
Baba wawili ukuje apa hizi mambo za pesa ndio unazipenda
View attachment 1693391