Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unafurahiii mkuu ...make anko binamu kashaniambiaa ukwelii..unafurahia nikijiliwaza na hiz nyimbo
20210130_191731.jpg
 
...anko, kwa mujibu wa ramli chonganishi ambayo tu ndo kwanza nimemaliza kuiangalia hapa inaonekana kabisa Nigendako siyo ndugu yetu na ana nia mbaya sana na wewe, matatizo unayopitia ya kugonganisha wanawake kila mara na hujifunzi yeye anayafurahia badala ya kukusaidia.

Sasa tunafanyaje anko? Leo ni furahiday, hapa njoo pa siku ile ila usije na yule mwanamke MC maana anaongea sana alitaka kugombana na teller wako bila sababu za msingi.

Mengine jiandae maana mganga katoa masharti ya kimkakati
Ha ha ha binamu, kwa hiyo kuanzia leo mmenitoa kwenye ukoo sio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom