Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,652
Ni mimi hapaaaaa
...ila anko kweli umeingia uchumi wa kati, yaani kutoka kupewa makopakopa hadi kuitwa mkuu utasema mwalimu wa zamu ha ahahahaha.
Sasa mkuu anko, tutafutane kesho sasa hivi nipo pale uliponiacha wiki jana