Kuna mama yetu humu alikuwa mama mchungaji wetu tunaamshwa kwa maombi tunalala kwa maombi toka alivyomteka mpaka leo hajarudi
Binamu heshima yako.....hakuna mwanamaombi mwenye jina la wine. Labda aje chemba nimchakate kupima imani
Huyo naye anaingia kwa kubeep beep tu
Binamu heshima yako
Mi mgonjwa matibabu bure![]()
Ndio hili kaa hapohapo ukisubiri mavideo na mapichaHili ndo jukwaa la wakubwa?
Hahhahah binamu...nimeipokea aunt, na kwa namna hiyo hiyo nairudisha kwako kwa salama bila kukumbatiana sababu ya korona