Niko poa Shunie, nmepata nafua, mafua tu ndio bado... Ha ha nilipima aisee, ilikuwa ni malariaNiko poa kabisa baba wawili umeenda hospital maana nasikia kuna corona za kimyakimya
Hayo mafua ndio yameingia sasa hivi wanasema eti dalili za coronaNiko poa Shunie, nmepata nafua, mafua tu ndio bado... Ha ha nilipima aisee, ilikuwa ni malaria
Heh, naomba isiwe hivyoHayo mafua ndio yameingia sasa hivi wanasema eti dalili za corona
Mungu azidi kukuponya baba wawili