Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Ha ha hapana shunie, nipo free sasaBaba wawili umekuwa mkwepu jr na wewe
Uko poa wewe? Jumanne yako inaendaje hapo?
Ha ha hapana shunie, nipo free sasaBaba wawili umekuwa mkwepu jr na wewe
Iko poa kabisa baba wawili sijui upande wakoHa ha hapana shunie, nipo free sasa
Uko poa wewe? Jumanne yako inaendaje hapo?
Niko na homa shunieIko poa kabisa baba wawili sijui upande wako
Pole sana baba wawiliNiko na homa shunie
Hiyo sehemu ina umuhimu mkubwa kwenye.mahusiano, hasa sisi wa Afrika.Moud mapenzi sio kwenye 6×6 tu hivyo vingine ziada tu
Asante Shunie!!Pole sana baba wawili