Hiyo ndiyo Raha ya maisha.Mapenzi yamenielemea [emoji2356][emoji2356][emoji2356][emoji2356]
[emoji4]Hiyo ndiyo Raha ya maisha.
Endelea kuyafurahia huku yakikuelemea
[emoji23][emoji7][emoji7][emoji4]
Moud kupendwa raha ukimpata mtu unampenda anakupenda mshikilie tu usimwachie [emoji6][emoji23][emoji7][emoji7]
Kama anakupenda lakini kwenye 6x6 hana uwezo unafanyaje?Moud kupendwa raha ukimpata mtu unampenda anakupenda mshikilie tu usimwachie [emoji6]
Moud mapenzi sio kwenye 6×6 tu hivyo vingine ziada tuKama anakupenda lakini kwenye 6x6 hana uwezo unafanyaje?