Makapuku Forum

Makapuku Forum

UNAAMBIWA Ni kosa kumtumia Mtu ujumbe mfupi wa matangazo ya kibiashara au huduma flani ya kibiashara bila ridhaa yake (sms), adhabu ni faini isiyopungua milioni 10 au Jela mwaka mmoja au vyote kwa pamoja, hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Miamala ya kieletroniki ya mwaka 2015 Tanzania. ( @avis.legal )
20210106_093751.jpg
 
UNAAMBIWA Kwa mujibu wa Sheria ya kanuni za adhabu Tanzania sura ya 16, ni kosa kwa Mtu yeyote kuomba pesa mtaani pasipo kuwa na kibali kutoka Ofisi ya Mkuu wa Wilaya au Polisi, adhabu yake ni Jela miezi mitatu au mwaka mmoja. ( Avis Legal)
20210106_093701.jpg
 
UNAAMBIWA Ni kosa kumtumia Mtu ujumbe mfupi wa matangazo ya kibiashara au huduma flani ya kibiashara bila ridhaa yake (sms), adhabu ni faini isiyopungua milioni 10 au Jela mwaka mmoja au vyote kwa pamoja, hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Miamala ya kieletroniki ya mwaka 2015 Tanzania. ( @avis.legal )View attachment 1669633
Kumbeeeee
 
Beki wa Azam FC na Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Aggrey Morris atacheza mechi yake ya mwisho na kuagwa Taifa Stars January 10 2021 kwenye mechi ya kirafiki vs Congo DRC uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

Morris anaagwa baada ya kuomba kustaafu kuichezea Timu ya Taifa ya Tanzania ambayo alikuwa akiichezea toka 2010 kwa vipindi tofauti.
20210106_094116.jpg
 
Beki wa Azam FC na Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Aggrey Morris atacheza mechi yake ya mwisho na kuagwa Taifa Stars January 10 2021 kwenye mechi ya kirafiki vs Congo DRC uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

Morris anaagwa baada ya kuomba kustaafu kuichezea Timu ya Taifa ya Tanzania ambayo alikuwa akiichezea toka 2010 kwa vipindi tofauti.View attachment 1669635
Jambo jema
 
UNAAMBIWA Ni kosa kumtumia Mtu ujumbe mfupi wa matangazo ya kibiashara au huduma flani ya kibiashara bila ridhaa yake (sms), adhabu ni faini isiyopungua milioni 10 au Jela mwaka mmoja au vyote kwa pamoja, hii ni kwa mujibu wa Sheria ya Miamala ya kieletroniki ya mwaka 2015 Tanzania. ( @avis.legal )View attachment 1669633
Kumbe kuna sheria hiyo.
Ni vema sasa tuzishughulikie kampuni za simu zinazotuma sms mfululizo kutangaza bidhaa zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom