Makapuku Forum

Wenzetu mna raha uko
Mbona hata sisi huwa tunajishusha.
Tunapenda kujishusha zaidi ila tunaogopa kuitwa mabwege
 
Ili uonyeshe uanaume wako
Ukishuka sana mwanamke haoni tofauti mliyonayo, ndiyo maana kuna wakati unatamani uende kwenye mikesha ili hata ukirudi muanzishe zogo.
Shunie elewa kwamba si kwa vile wewe unajitambua na wenzako nao wapo kama ulivyo.
Kuna wengine ili muende sawa ni lazima kitembee kibesi
 
Nakupata moud na mwanaume lazima uwe juu siku zote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…