Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ila baba wawili nakupenda sana kwa mambo zako

Yaani nishamuunda baba wawili wangu huku nilipo

Mungu azidi kukupa maisha marefu sana juwa tu shunie anakupenda sana [emoji8][emoji8]
Hahah

Tucheke tufurahi pamoja shunie, maisha yenyewe mafupi haya

Nakupenda pia shunie[emoji7][emoji7], hauna baya na mtu

Umemuumba vipi huyo baba wawili shunie[emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom