Hii ndio yangaa...sisi ndo wanachiiii
Vifurushiiiii ni jipuuu
Mikiaa fc yapata kipigoooo....na kwa mkapa watapigwa tena
Uongo wake sasa
Asante kwa infoooJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangalamtoto mlito kiboko kabisa
Makubwa hayaHii ndio yangaa...sisi ndo wanachiiii
Kila mtu ashinde zake
Team yako team yako hata ifungwe vipiMikiaa fc yapata kipigoooo....na kwa mkapa watapigwa tena
Kabisa huwez acha kuishabikiaTeam yako team yako hata ifungwe vipi
Mimi ni simba nitabaki kuwa simba hakuna namna hata tufungwe kila siku tu nimeipenda mwenyewe
Ulisema jez zao nzur lakinMakubwa haya
Kwahiyo umeshahamia yanga
Jez nzuri sana sasa inahusiana na nini na team kufungwa kwamba usivae jez sababu team inafungwaUlisema jez zao nzur lakin
Jez nzuri sana sasa inahusiana na nini na team kufungwa kwamba usivae jez sababu team inafungwa
Kila la heri nitabaki na simba yangu tu hivyohivyo ilivyoSema simba wanaboaa kinyamaaaa nataka nijitafutie katimu ka kutonipaaa preshaaaa
Kila la heri nitabaki na simba yangu tu hivyohivyo ilivyo