Na kinyume chake pia ni kweli... Yaan wanawake wafupi....

He heaisee,ushanisahau eeh, mimi ndiye yule dereva wa ile canter tuliokuja kukuhamisha
![]()
Hahahha wewe baba wawili utakuwa mfupi weweNa kinyume chake pia ni kweli... Yaan wanawake wafupi....![]()
Ha ha ha hapana shunie, mimi nmejarbu kuwaza kinyume chake tuHahahha wewe baba wawili utakuwa mfupi wewe
Ni vipi unapita kimya kimya jamani nimekumiss eti japo kukusikia ukitia neno
Uko poa lakini kijana wa watu
Hahhaha kwahiyo siku hizi nimekuwa sio mbishi tena au ndio kuzeeka huku








