Hahaha unatoa siri za kambi mjomba, vungaKwan vibayaa kukumbushana au unataka nikuchekeshee na ile ya mhudumu wa lodge wako
Wooooooiiiiii
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] aisee,ushanisahau eeh, mimi ndiye yule dereva wa ile canter tuliokuja kukuhamisha [emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] makazi mapya shunie mimi wapi huko we baba wawili natafuta sponsor wa kunihamisha