Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Hahahahaha wala sijaanza hataUmeanza
Hahahahaha wala sijaanza hataUmeanza
Hahahahahaaha bora umemshtukiaaUmeanza
YamekuwajeeeeMaisha haya bwana
Hamna jamaniHahahahahaaha bora umemshtukiaa
Basi tu acha nipambane na hali yangu tuYamekuwajeeee
Hahahaahaah kitu manganyuuuuuuu kipyaaaaaaaaa 4k haswaaaaaa hata ile site yako ishajutaaHongera mkuu.. vipi ilikua nyuu na yenye ubora au kariakoo type
Boss lady vipiii tenaBasi tu acha nipambane na hali yangu tu
Ingekuwa kama zaman ningelipga vdeo call😂😂😂😂😂😂😂Hamna jamani
Familiaa yetu hii watu sijui majukumuTumomo alienda wap
Fanya muamala usome basi BossBoss lady vipiii tena

Sijui mnaongelea tv sijui nini ila hayanihusu endeleeni na lugha yenuHahahaahaah kitu manganyuuuuuuu kipyaaaaaaaaa 4k haswaaaaaa hata ile site yako ishajutaa
Hahahahahahaha wakat mchana taa iliwaka nikiwa around nikakumbuka enzi zile unanitumia miamala ya kujaza full tankFanya muamala usome basi Boss![]()
Sijui mnaongelea tv sijui nini ila hayanihusu endeleeni na lugha yehahahahah
Sijui mnaongelea tv sijui nini ila hayanihusu endeleeni na lugha yenu





UmetishaaaaaHahaa beat me
View attachment 1639311
Nipo juu ya mawe nimelipa kodi leo tu sina hata miaHahahahahahaha wakat mchana taa iliwaka nikiwa around nikakumbuka enzi zile unanitumia miamala ya kujaza full tank
Hahaa beat me
View attachment 1639311
Hongereni
Hahhaahha ile kunena kwangu kwa lugha inatokana nikiwa kwenye mood flaniKama unavyonenaga kwa lugha..
Hahahahaha mm sasa si nikakosea njia ya kutokea hongera kumbe haina kuingia moja kwa moja wakacheza na mm ....Nipo juu ya mawe nimelipa kodi leo tu sina hata mia
Pole mnoHahahahaha mm sasa si nikakosea njia ya kutokea hongera kumbe haina kuingia moja kwa moja wakacheza na mm ....
Mm next week maza haouse niko nae