Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwenye majumba yenu mabovukwa mbali sanaa maan wahuni tumecheza sana kombolela
Butua uwaokoe wenzako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwenye majumba yenu mabovukwa mbali sanaa maan wahuni tumecheza sana kombolela
Makapuku oyeeeHabari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Babe jezi mpya basi ya kimataifa [emoji847] [emoji8] ninavyokujua wewe umeshanunuaEwaaaaaaaaah my baby shunie leo katoka mafichoni
Hahahahahaa kuna hii ya form six nmejuta kununua mapemaBabe jezi mpya basi ya kimataifa [emoji847] [emoji8] ninavyokujua wewe umeshanunua
😂😂Tena unabutua mbali ili umfaidi uliyejificha nae....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwenye majumba yenu mabovu
Butua uwaokoe wenzako
Hiyo ya form six siitaki hataHahahahahaa kuna hii ya form six nmejuta kununua mapema
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Tena unabutua mbali ili umfaidi uliyejificha nae....
Nmeona kama nzuriiHiyo ya form six siitaki hata
Sijawahi hata kuiona ngoja niioneNmeona kama nzurii
......hii hapaSijawahi hata kuiona ngoja niione
SwadaktaaJe wajua inakujia na shunie shunie kibonge cheusi mangala [emoji847]mtoto mlito kiboko kabisa
Hahahaha, nimewaza mbali
WaaaaoooooooooooWanaume kuna ujumbe wenu hukuView attachment 1638880
Mbayaaaaa......hii hapaView attachment 1638929
Wapi huko we mzeeHahahaha, nimewaza mbali