Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,063
Wewe tenaWaaaaooooooooooo
Wewe tenaWaaaaooooooooooo
Hahahahahahaha mbona unanikatisha tamaa. .ebhu tugawane vya kariakooMbayaaaaa
Kuna mtu nimeona leo kkoo kavaa form 6 nyekundu tupuuu nzito imeandikwa simba wa nchi nyuma halafu ina picha ya simba
Mbaya kweli bora uchukue ya kawaidaHahahahahahaha mbona unanikatisha tamaa. .ebhu tugawane vya kariakoo
Kweli tena akiiiiiUnasema kweli
Tunamshukuru Mungu hatujambo hofu upande wakoNapita tu kuwapa salam ndugu zangu
Tumshkuru MUNGU kwa rehema zake za kutujalia uzima
Siku njema kwa wote
Pole na msibaMbaya kweli bora uchukue ya kawaida
Kkoo nimetoka msibani
He he nipo hapaShunie mzee wa kunena kwa lugha



Hahahhah hii hiii yaani nilicheka sanaHahaahaaa kumbe Vinci wa manyovu..
Ilikua hii hii au ipi
Huyu ndo da vincHahahhah hii hiii yaani nilicheka sana
Hahahahahahahaa mzee unazichangee kinomaaSawa bwana lyon lee
Sawa bwana lyon lee
NdiwooooHuyu ndo da vinc
Looooooh anachange majina hatarNdiwoooo
Shikamoo...kumbe ni wewe mgeni mwenyeji
Hahahahahahah haya bhana nilifanikiwa ile ishuuu nilizama mwenyewwSasa tutafanyaje maisha yenyewe mafupi haya