Tukapige kura
Asante anko kwa nenoMapumziko mema Wanajukwaa kuelekea weekend ya kwanza baada ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani.
Tanzania ni ya watanzania wote, vyama ni vya wanachama.
Mungu atusimamie na akili zetu zitangulie mbele ya tumbo
Still testing your mic?Niko najaribu microphone test
Shikamoo ankoooNajua internet bado imebinywa na hakuna ubishi kuwa mamlaka za juu ndo zinataka hii hali kwa sababu waovu siku zote wana hofu.
Kuna watu na hasa vijana ambao maisha yao yanategemea internet na hasa social media, kuibinya kwa utashi tu wa kisiasa ni kurudishana sana nyuma kwa faida ya wanasiasa wachache.
Anyway, inkaribia Ijumaa na mara zote i like it to be the easy one
Shikamoo ankooo
Shem joy amenileteaa kesiii kubwa sana...nimeipokea salamu anko wangu. Mambo yanaendaje ndugu yangu? Me nipo napambana na mvua hizi za kupandia
Shem joy amenileteaa kesiii kubwa sana
Anko ya dunia mengi .ujue skuamini kama na mm ipo sku ntakuwa mhanga kama wewe ,huyo achana nae sasa ananiletea kesiii si inabidi nitest validity...ha hahaha muache alete kesi tena kabla ya kuja kwako kuleta mashtaka alisema anaenda kwa wakili bwana Bob, sasa ukiangalia ni kweli ilitokea ila hana ushahidi wa kunikamatisha zaidi ya maneno ya kusikia kwa wenye husda
Anko sasa na wewe usije ukaonoa umepata dodo, maana nakumbuka yule dada aliyekuja kukulia umsaidia kuwa amebakwa lakini na wewe ukamuomba mchezo
Anko ya dunia mengi .ujue skuamini kama na mm ipo sku ntakuwa mhanga kama wewe ,huyo achana nae sasa ananiletea kesiii si inabidi nitest validity
AnkoooooKrismasi inakaribia, nimeona niwakumbushe tu wanajukwaa ili msisahau.
Wiki njema na ongeza tabasamu kuelekea mwaka mpya