Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ohhhhh!!Kumbe ndiyo maana masuala ya mfilisi wa serekali yanakupiga chenga kaka.Ni ofisi nyeti sana ambayo huwa inahusika na kufilisi watu wote wenye kiherehere
Serekali ya Tanzania kupitia ofisi ya mwanasheria mkuu huwa kuna ofisi ndogo inayoitwa mfilisi wa serekali.Hujawahi kuisikia ofisi hii kaka?
Bwana Lee mimi ni mzima kabisa.Hofu na mashaka ni kwako wewe pamoja na mfilisi wa serekali ambao mpo mbali na upeo wa macho yangu
Okeii
 
Obe mjombaaaaa huweziiii kunifanyiaa namna ya kudeleteeeeeeee hii kitu ....mengine sijuiiii yalitokeaa wapiiiiiiiiiiiiii

20201014_200831.jpg
 
Hapo anko huna namna, na hawa wakusanya mapato wa polisi hawataki mchezo. Nimeona kosa lako kubwa la kuchepuka umepewa cheti ulipie
Alafu ankooo nikirud mjiniii huyo aliendikaa naendaa tunagawana kulipaa make alinioneagaa kwa kufananishaa gar nikamwambia andika ata kumi kumbe akatandikaa mkekaa kweliiii😂😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom