Karibuunaona member wa makapuku wa awali wako busy na maisha, sa sijui ni utu uzima au ni nini..
kitambo sana
Mkuu heshimaa kwakooMpe salamu Sakayo
Asante ndugu heshima kwa woteMkuu heshimaa kwakoo
TupoooAsante ndugu heshima kwa wote
Asante zimefikaMpe salamu Sakayo
...nafurahi umezipata anko, maana ilikuwa taabu kwelikweli ulipozima simu
Siyo kuosha vyombo bali ni kuosha masufuriaKuzimaaa muhim si unajuaa majimbo mapya yanahitaji unyenyekevu mpka tunaoshaa vyombooo
Haya poaAsante zimefika
Ankoo naombaa nikuitee mkuuuGood morning neighbors.
Narudi kwenye kiswahili sasa, ndugu yenu sijambo naitafuta siku kwa shangwe za Lissu.
Sijafichwa mrembo nipo tuu, u hali gani bibie?
Tumsifu Yesu Kristo..
...nafurahi umezipata anko, maana ilikuwa taabu kwelikweli ulipozima simu
Asante zimefika
BlessedHopeTupooo
Bwana Lee naona siku hizi umeanza kuchangamka kidogo!Ankoo naombaa nikuitee mkuuu
Hivi mfano bunge linafunguliwa rasmi na rais anahutubia awe lissu itakuwajee...
Tuko wazima kabisaBlessedHope
Tumosa
Tetramelyz
Nawasalimia sana wandungu! Kitambo sana no see ya!
Natumaini muwazima wa afya
Naona anko magu kawateka na kampeniTuko wazima kabisa