Mzee wa kunena kwa lugha😀😀😀Usijali vile vimasika we uko na mimi [emoji847]
Abeeh vincMzee wa kunena kwa lugha[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimechoka mie kuwa peke yangu ndio mana nikiingia najinenea zangu kwa lugha tuShunie ndio huupa uhai ila naye naona anautelekeza
Babe wangu bwana raha anazonipa nakuja kuzimalizia jfNinani huyo unayemnenea kwa lugha?
Siku hizi na mimi nimekuwa mvivu kuingia makapuku sababu watu wote wamekimbiaUnanifhrahishaga na higo mistari. Endelea kuupa uhai uzi wetu pendwa wengine inakua ngumu kweli kwa sasa
Sanaaa vincHongera kwake kukupa raha si kazi ndogo
Kwakweli nimekuwa mvivu mnoo sijui ngoja tuone kama nitaweza kuletaTupo tunachungulia tunaona hakuna mtu. Lete magazeti na je wajua sasa
Watu mko busy na kampeni..Tupo tunachungulia tunaona hakuna mtu. Lete magazeti na je wajua sasa
Mpaka muda huu bila bilaKwakweli nimekuwa mvivu mnoo sijui ngoja tuone kama nitaweza kuleta
Nipe mbinu anafanyaje?? MaanaSanaaa vinc
Acha tu nijinenee zangu kwa lugha
Kwanini mkuu.?Kiongozi ungejua sijihusishi na siaaSa kwa namna yoyote ile hata kura sipigi
ShemelaSanaaa vinc
Acha tu nijinenee zangu kwa lugha
Sawa mkuu..Siasa hazipandi kabisa..siwezi kupanga foleni wakati sijui nitakula nn baadae
Vinci bwana uvivu ujueMpaka muda huu bila bila
Mbinu za nini sasa unataka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nipe mbinu anafanyaje?? Maana
AbeeehShemela