Hahahah binamu kwahiyo unapata sana hela ya hesabu sababu ya kampeni
Sijafichwa mrembo nipo tuu, u hali gani bibie?Poa mrembo wangu za wewe za kuadimika jamani nani amekuficha hivi
Nipo poa dear nafurahi kukuonaSijafichwa mrembo nipo tuu, u hali gani bibie?
Woyoooooo...siwezi kulalamika kabisa aunt, napiga hela kama muokota Makopo
KaribuMorning makapuku wenzangu za macku tele?
Shukree mrembo ww!Karibu
Sawa kipenziNipo poa dear nafurahi kukuona
Tumsifu Yesu Kristo..Akishikaga ukuta nashindwaga kuhema [emoji119]
Nasimamia ukucha usiku natetema [emoji2223][emoji2223][emoji2223]
Kindimu changa cha kuchachua[emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Mahaba, mahaba yananizidiii [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Tunda komamanga la kupachua [emoji91][emoji91][emoji91]
Tamu zaituni, Tunda la peponi nalila [emoji847]
Gemu ya sakafuni, Tunadundishana kipira [emoji1732]
Napewa penzi sabuni [emoji8][emoji8][emoji8]
Linalontakasa madhila [emoji132]
Huniita honey hayuuni [emoji8][emoji8][emoji8]
Mkali wa tatu bila [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Upepo wa pwani
Umenipeleka bara [emoji7][emoji7]
Niongoze usukani
Kwenye penzi barabara [emoji8][emoji8][emoji8]
Wakati wako tambaa [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Ashu ashu (heee), ashua
Na roho zao ziwaume [emoji847][emoji847]
Ashu ashu (heee), ashua
Tuwachome mapaka shume [emoji108][emoji108][emoji108]
Kweliii, mambo mazuri hayataki haraka oooh
Haraka ooo, mhhh [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Kwa dua nimesubiri nimepewa nilichotaka ooh
Nilichotaka oooh mhhh [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Penzi niinalinogesha (noga)
Nampa mchicha ale. [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Vinono vya kunenepesha (noga)
Sambusa ya nyama tele [emoji8][emoji8][emoji8]
Kisha namchangamsha (noga)
Namchezea segere [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Mwali kujineng'emusha (noga)
Huku napiga kelele (aah aah aah. [emoji1787]
Wakikuuliza mbona huonekani
Tunacheza solo na zumari ndani. [emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Ehe kuingiza kete shimoni
Tunacheza solo na zumari ndani [emoji8][emoji8][emoji8]
Yote haya ni kuhakikisha kuwa Lee hapumui?Makopa kopa kwa malavidavii
Tunacheza solo na zumari ndani. [emoji7][emoji7][emoji7]
Mpe salamu SakayoHivi yupooo ukimuona mpe salaaam