Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Usinichoshe tusichoshane na maswali ya watu waliopotea tena watu wazima wana mvi na ndevuWatu wameenda wapi?[emoji848][emoji848][emoji848]
Usinichoshe tusichoshane na maswali ya watu waliopotea tena watu wazima wana mvi na ndevuWatu wameenda wapi?[emoji848][emoji848][emoji848]
Hahahah binamu kwahiyo unapata sana hela ya hesabu sababu ya kampeniLee nakusalimia anko. Niko kwenye kampeni, sigombei wala sio mfuasi. Naendesha bodaboda, so nakodiwa sana.
Shunie miss you big time Behaviourist jukwaa kupoa ni sababu ya kila mmoja kujiuliza, kalifanyia nini jukwaa.
Happy almost furahiday. Makapuku ni kama bahari, mahari nilipo ni alhamis saa 5 asubuhi na mgombea keshatukodi wa bodaboda