Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,758
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nifanyeje sasa mkuu
Zanzibar sipawezi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nifanyeje sasa mkuu
Zanzibar sipawezi
Mzee wacha tumalizee uchaguz[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana Lee wewe na uchaguzi wapi na wapi.Uchaguzi wako naujua!Mzee wacha tumalizee uchaguz
Hivi mpaka sasa hivi bado hujafanikiwa kufanya uchaguzi?Mmu uchaguz haupo kwan
Nimefungua pm rasmiHivi mpaka sasa hivi bado hujafanikiwa kufanya uchaguzi?
Wagombea huwa wanakuja wenyewe siyo?Nimefungua pm rasmi
Wengiii tu ...Wagombea huwa wanakuja wenyewe siyo?
Kabisa ndugu. Habari za huko uliko?BlessedHope
Tumosa
Tetramelyz
Nawasalimia sana wandungu! Kitambo sana no see ya!
Natumaini muwazima wa afya
Kabisa ndugu. Habari za huko uliko?
[emoji28][emoji28] twaja na kupotea.Tetramelyz upo kijana
Nipo muheshimiwa... Kuna deal pande hizo nije chapu?[emoji28]Njema kabisa kiongozi. Kitambo sana sijakuona ndugu
Nimefurahi pia chief. Maana uzi unapumlia mashine ila bado wakongwe wachache mpo mnaupa life supportDaah i wish yangekuwepo tukagawana mkate huo. Ila kote bila bila kiongozi wangu..Ni faraja kukuona tena ukiwa bukheri wa afya