Upo dear
Habari yako mremboUpo dear
Poa mrembo wangu za wewe za kuadimika jamani nani amekuficha hiviHabari yako mrembo
Toa kwanza maelezo kwa nini forum imepoa sanaPoa mrembo wangu za wewe za kuadimika jamani nani amekuficha hivi
Kila mtu anapambana na hali yake itachangamkaje na watu hawapo wakirudi watachangamshaToa kwanza maelezo kwa nini forum imepoa sana
Watu wameenda wapi?Kila mtu anapambana na hali yake itachangamkaje na watu hawapo wakirudi watachangamsha
Nakusalimiaa sanaaaKila mtu anapambana na hali yake itachangamkaje na watu hawapo wakirudi watachangamsha