Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mh!Daah hatareeeee...
Kasheshe lilikuwa linaanza uwanja wa mpira pale mabibo ... wakati wa mazoezi ya kwaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mh!Daah hatareeeee...
Kasheshe lilikuwa linaanza uwanja wa mpira pale mabibo ... wakati wa mazoezi ya kwaya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NilikumisMmh aah weka utam my babe
Kabla hakujakucha my babe
Mmmh aah nahisi nadedi
Ukisimama kwa ukuta my babe [emoji8]
Kuachwa kubayaaa mathikini lii weeUkipatagaaa baby mpyaa uwa unanirushaaaa rohooooo jaman
KwiyoooooAah nahisi joto sio joto baridi sio baridi
Mmh nakuwa katoto katoto we unavyonifariji [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Najiona katoto shunie mimi [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kibibi gagula [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Duuu Lee si atalia?!Hizo bingiri bingiri mpaka chini
Nakupa pingili bafuni kabatini [emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
[emoji2][emoji2][emoji2]Hivi babe upo jf kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungeona tu ninavyotiririka
Halafu ukipigiwa unalilillalia[emoji1][emoji1]Ukiacha achaaaa kweli sio unabeep beep tu jamani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yeah hakuna mengineUkimpata mtu mnapendana pendaneni tu jamaniiiii yaani pendaneni, maisha ndio haya haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuzoom unajifariji mwenye weDaaaaaaaaah kikubwaaa uhaii
Cha zamaniii kidondaaKipyaaa kinyemiiiiiiiii
[emoji849]Aliyekaribuuu na shunie amnyanganyee simu na kilichopoo mezaniii kirudishweee kwenye frijiii
[emoji7]Obe....nyani mzee mimi anko, nimekwepa mishale na kuumia na kuumiza ni maisha. Anko nakutafuta sana sema ndo umebadili namba
Poa auntie, habari za masiku auntie? Kwema huko?Mambo ninge....
leo jioni nitakua na kikao humu, ajenda ni..Leo sijui wameamkiaa wap
Jioni ya saa ngapi mkuu?leo jioni nitakua na kikao humu, ajenda ni..
kufufua uzi wetu.
watangazie wenzio
...
Vincii
Husna hujambo ?
Unanitaka nini ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si useme tu km umeachwa
saa 12.30 itapendezaJioni ya saa ngapi mkuu?
Niambie Husna wa Binamu Obe [emoji1]T wa sakayo